Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir amesema serikali ya kaunti ya Mombasa wametenga shilingi milioni 80 kugharamia sehemu ya matibabu ya wakaazi ambao hutibiwa...
Naibu gavana kaunti ya Kilifi Flora Mbetsa Chibule, amependekeza adhabu kali kwa watu wanaotekeleza visa vya dhulma za kijinsia katika jamii. Chibule alisema visa vya dhulma...
Kilabu ya Liverpool imeafikia makubaliano na Bayern Leverkusen kuhusiana na usajili wa kiungo mbunifu Florian Wirtz uhamisho ambao ni rekodi mpya wa uhamisho Uingereza. Timu hizo...
Kilabu ya Tottenham HotSpurs ya Uingereza imemtambulisha Thomas Frank kuwa kocha mpya kumrithi Ange Postecoglou aliyepigwa kalamu mwezi jana licha kushinda kombe la Europa ligi na...
Ni rasmi kilabu ya Napoli imetangaza kupata sahihi ya kiungo wa zamani wa Manchester City Kevin De Bruyne raia wa Ubelgiji. Mchezaji huyo mwenye umri wa...
Riadha Mkenya Faith Cherotich kwa mara nyingine tena ameweza kumshindabingwa wa Olimpiki mbio za mitaa 3000 kuruka maji na viunzi Winfried Yavi raia wa Bahrain kwa...
Maafisa wa idara inayoshughulikia maslahi ya watoto kaunti ya Kilifi wameshinikiza serikali kuu na zile za kaunti kuweka mikakati dhabiti ili kukabili suala la ajira za...
Kaimu Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa matibabu nchini, KEMRI, Prof. Elijah Songok amesema huenda maelfu ya wananchi wanaofanya kazi kwenye taasisi hiyo kote nchini wakakosa...
Shehena ya dozi milioni 3.2 za chanjo ya ugonjwa wa polio na dozi milioni 3 za chanjo ya BCG inayotumiwa kuzuia ugonjwa wa kifua kikuu zimewasili...
Mahakama ya Shanzu, Kaunti ya Mombasa, imemuachilia kwa dhamana ya shilingi laki mbili au pesa taslimu ya shilingi laki moja msaidizi wa kibinafsi wa Mbunge wa...