Idara ya Usalama mjini Mombasa imetoa taarifa kujibu ombi la wanaharakati wanaotaka kuandaa maandamano ya kuadhimisha siku ya SABA SABA mjini Mombasa. Katika barua iliyotiwa Saini...
Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya kukabiliana na mihadarati na vileo haramu nchini NACADA tawi la kaunti ya Taita Taveta Anthony Kiseu ametoa wito kwa asasi...
Naibu kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Owen Baya amewashutumu baadhi ya wanaharakati walioelekea mahakamani kupinga kuapishwa kwa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na...
Mwanamuziki chipukizi na mbunifu wa mavazi aeleza kwa uwazi changamoto, maumivu na matumaini yake
Ibada ya mazishi kwa ajili ya mwendazake mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang’ aliyeuawa mikononi mwa polisi inafanyika katika shule ya msingi ya Nyawango kaunti ya Homa...
Mashindano ya kombe la dunia baina ya vilabu kuingia katika hatua ya robo fainali hii leo nchini Marekani. Al-Hilal iliobanduwa Manchester city chini ya Kocha Simeoni...
Wakaazi wa mtaa wa mabanda wa Bangladeshi eneo bunge la Jomvu, kaunti ya Mombasa, wanalalamikia uhaba mkubwa wa maji unaoendelea kushuhudiwa kwa zaidi ya mda wa wiki tatu sasa. Wakiongozwa na Betty Achieng’,...
Bingwa wa nishani ya fedha mbio za olimpiki mitaa 3000 kuruka maji na viunzi Faith Cherotich anatarajiwa tena kuzindua uhasama na bingwa wa Olimpiki raia wa...
Timu ya Taifa ya Soka Harambee Stars kucheza taji la Cecafa ukanda wa Afrika Mashariki mjini Dar-es-Salaam Tanzania ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Chan mwezi...
Viongozi wa upinzani wameikosoa serikali kwa kukosa kutekeleza ahadi walizotoa kwa wananchi hasa katika kufufua miradi ya kiuchumi nchini. Wakiungumza katika kaunti ya Kakamega viongozi hao...