Baadhi ya Wanaharakati kaunti ya Mombasa wakiongozwa na Amina Ridhwan wametoa wito kwa serikali kuu kufanya mazungumzo na vijana wa kizazi cha Gen Z ili kusitisha...
Wafugaji ng’ombe za maziwa kaunti ya Kilifi wamesema kiwango cha maziwa wanachopata kwa sasa kimeongezeka msimu huu wa mvua ikilinganishwa na msimu wa kiangazi. Kulingana ma...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro amesema sekta ya afya inatarajiwa kuimarika pakubwa kutokana na mikakati ya kuanzishwa kwa kituo cha kutoa matibabu ya...
Mshambulizi wa Taifa la Ujerumani na kilabu ya Bayern Munich Jamaal Musiala kuwa nje kwa kipindi cha miezi moja baada ya kuvunjika kifundo cha mguu mechi...
💥 Ujumbe wa mafumbo, mkorogo, na mzaha wa ‘something wet’ waunda kisanga cha kitaa!
Kilabu ya Arsenal imetangaza rasmi usajili wa kiungo wa Uhispania Martin Zubimendi kwa dau la pauni milioni 51 ambayo inakisiwa kufika pauni milioni 60 badaye. Mchezaji...
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amewaalika wakenya kujumuika naye kati kumbukumbu za maandamano ya siku ya Sabasaba katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi. Odinga...
Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen ameshinikiza amani wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya siku ya Sabasaba ambayo inafanyika Julai 7, 2025. Akizungumza katika kaunti...
Chama tawala nchini Uganda, cha National Resistance Movement (NRM), kimemteua Rais Yoweri Museveni kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2026. Akizungumza...
“Nitangoja tena miaka mitano kabla sijafanya maamuzi ya kuolewa.” — Ruby Kache