Mzee wa mtaa eneo la Mavueni kaunti ya Kilifi Catherine Anzazi amewaonya vijana wadogo dhidi ya kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu. Akizungumza na Coco Fm, Anzazi...
Changamoto imetolewa kwa idara ya usalama, bodi ya kukabiliana na utumizi wa pombe haramu sawa na dawa za kulevya kuwajibika kikamilifu kwa lengo la kukabiliana na...
Matumani ya bingwa wa mpira wa Tennis Novak Djokovic kupata taji la 25 la Grand slam katika historia ya mchezo huo yangali hai anaposhuka dimbani kwa...
Idara ya usalama eneo la Pwani imeonya viongozi na wanasiasa dhidi ya kuzua semi za uchochezi ambazo huenda zikachangia vurugu eneo hilo. Kamishna wa jimbo la...
Bingwa wa Olimpiki mbio za mitaa 100 Noah Lyles wa Marekani kuanza rasmi msimu wake mjini Monaco Ufaransa katika msururu wa Diamond Ligi hii leo. Mtimkaji...
Timu ya Taifa ya soka Harambee Stars kimeingia kambini tayari kwa maandalizi ya Chan mwezi ujao katika mataifa ya Kenya,Uganda na Tanzania. Vijana wa Nyumbani wamekaribishwa...
Mahakama Kuu nchini imetoa mwelekeo kuhusu kuapishwa kwa mwenyekiti mpya na makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC. Haya yanajiri baada ya majaji watatu siku...
Miaka michache iliyopita serikali kuu ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki katika juhudi za kuthibiti uchafuzi wa Mazingira. Sheria hiyo iliyoanza kutumika mwezi Agosti 28...
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma, Renson Ingonga, ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya afisa wa polisi Barasa Masinde. Masinde anadaiwa kuhusika moja kwa moja na mauaji...
Tume ya jinsia na usawa NGEC inasisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wanaume ili kudhibiti visa vya dhuluma za kijinsia nchini. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mkakati...