Miamba wa Uingereza kilabu ya Chelsea ndiyo mabingwa wa Fainali ya Kombe la Dunia baina ya vilabu baada ya kutia darasi kabila ya kukalifisha PSG kibano...
Wadau wa amani katika kaunti ya Kilifi wameishinikiza jamii kuzingatia amani na uwiano. Wakiongozwa na Harold Mwatua ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya amani katika kaunti...
Wafanyibiashara mjini kilifi kaunti ya kilifi wanasema kuwa biashara mbalimbali zimedorora kutokana na ongezeko la idadi ya wachuuzi ambao wanachuuza kando kando mwa barabara kila mahali....
Serikali kuu imetenga shilingi bilioni 4.5 kusaidia vyama vya ushirika, akiba na mikopo ili kuimarisha kilimo humu nchini. Akizungumza na vyombo vya habari mkuu wa mawaziri...
Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, amefariki katika Hospitali Moja Mjini London leo Jumapili Julai 13, akiwa na umri 82. Kiongozi huyo ambaye aliitawala Nigeria kwa...
Maafisa wa usalama eneo bunge la Likoni Kaunti ya Mombasa wanamzuiliwa mwaname mmoja kwa tuhuma za wizi wa kimabavu baada ya kuvamia hospitali ya kibinafsi akiwa...
Wateja na wanachama wa shirika la uekezaji na mikopo la Imarika Sacco walijumuika na maafisa na shirika hilo katika maeneo mbali mbali kaunti ya Kilifi kwenye...
Wizara ya afya nchini imesema kufikia sasa watoto milioni 3.3 wamepokezwa chanjo ya surua kati ya watoto milioni 6.5 waliolengwa. Ripoti ya wizara hiyo pia iliongeza...
Baraza la Makanisa Nchini IRCK kwa ushirkiano na Kilifi Inter Faith Network pamoja na Wizara ya Usalama wa Ndaani imeenda mechi ya soka ya Amani kati...
Msanii nyota wa Marekani, Chris Brown, amekana mashtaka mawili mahakamani yanayohusiana na madai ya shambulio kwa kutumia chupa katika kilabu cha usiku jijini London miaka miwili...