Waziri wa Michezo Salim Mvurya amesema kwamba lengo lake ni kuona timu ya Soka Harambee Stars katika fainali ya kombe la CHAN linalongoa nanga mwezi ujao...
Huenda wakenya wakagharamika zaidi katika kumudu gharama ya maisha kutokana na ongezeko la bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Taa mtawalia. Hii ni kutokana na...
Waziri wa Usalama wa ndaani Kipchumba Murkomen amesema kwamba Taifa la Kenya liko tayari kwa kipute cha CHAN mwezi ujao. Akizungumza na wanahabari hapo jana Murkomen...
Mbunge wa Ganze kaunti ya Kilifi Kenneth Tungule amesema wanafunzi wengi katika eneo bunge hilo hawafanyi vyema masomoni kutokana na hali ya umasikini na njaa. Tungule...
Taifa sasa linajiandaa kwa chaguzi ndogo hasa baada ya kuapishwa kwa mwenyekiti na makamishna wapya sita wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC hivi majuzi....
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa yamepinga mchakato wa mazungumzo ya kitaifa yakisema matatizo yanayowakumba wakenya tayari yanajulikana. Wanaharakati hao wakiongozwa na mkurugenzi...
Kilabu ya wanabenki KCB ya wanawake ndiyo mabingwa wa Voliboli taji mpya la Kenya Cup fainali iliopigwa ugani Kasarani Indoor Arena wikendi hii. Hii ni baada...
Kiungo wa Harambee Stars chipukizi marufu kama Junior Stars Aldrine Kibet sasa ni rasmi anajiunga na kilabu ya Celta Vigo inayoshiriki ligi ya Laliga msimu ujao...
Mchezaji wa Tenisi anayeorodheshwa wa kwanza Ulimwenguni Jennik Sinner raia wa Italia amesema kwamba lengo lake ni kutawala dunia sasa baada ya kumpiku mwenzake Carlos Alcaraz...
Chama cha Walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini KUPPET, kimeionya Tume ya uajiri walimu nchini TSC dhidi ya kuwasilisha pendekezo lipya linalokinzana...