Baada ya vute ni kuvute ambayo imedumu kwa kipindi cha mwezi mmoja ni rasmi kwamba kilabu ya manchester United na Brenford wameafikia makubaliano ya pauni milioni...
Waziri wa michezo Salim Mvurya ametangaza kwamba matayarisho ya michuano ya CHAN yamekamilika na vijana wa nyumbani wako tayari kuakilisha Taifa. Kenya itatumia viwanja vya Kasarani,...
Kasisi wa Kanisa Katoliki jimbo la Malindi Misheni ya Mere kaunti ya Kilifi, Blaise Kamau Andrew ametoa wito kwa wenyeji wa Pwani kuwekeza zaidi katika kilimo...
Kanda ya Pwani inatarajiwa kuimarika zaidi kupitia Kilimo cha kisasa kinachotekelezwa kupitia mfumo wa teknolojia. Hii ni kupitia mikakati inayoendelezwa na Agitech Seedlings kuhakikisha Wakulima na...
Vijana wamehimizwa kujitenga na matumizi ya dawa za kulevya kutokana na athari zake ambazo zimechangia maisha ya vijana wengi kusambaratika. Hii ni baada ya Mamlaka...
CHAN COUNT DOWN 16 Days to Go Huku muda ukizidi kuyoyoma kwa kipute Cha CHAN nchini ebu tumulike wakufunzi na Mataifa ambayo yameshinda Kombe hili Tangu...
Idara ya usalama kaunti ya Taita taveta imeandaa kongamano maalum ili kujadili namna ya kukomesha visa vya dhuluma za kijinsia na kingono kaunti hiyo. Kongamano hilo...
Matumaini ya kilabu ya manchester united kupata huduma za kiungo mshambulizi wa kilabu ya Brenford Bryan Mbeumo yanaonekana kufifia kila kuchao. Haya yanajiri baada ya mazungumzo...
Tume ya huduma za Mahakama nchini JSC imeshtumu vikali tabia inayoendelea kusheheni nchini ya kuwashambulia hadharani majaji kuhusu uamuzi wanaoutoa wa dhamana kwa washukiwa wa kesi...
Kilabu ya FC Barcelona imemkabidhi winga matata Lamine Yamal jezi namba 10 kilabuni humo. Jezi hilo ambalo limevaliwa na baadhi ya wakongwe kilabuni humo ikiwemo Lionel...