Timu ya soka vijana wasiozidi umri wa miaka 20 Rising stars wameanza vibaya kampeini ya Afcon kwa kupoteza pembamba magoli 3-2 dhidi ya Morocco mechi ya...
Kiungo wa zamani timu ya taifa ya soka Harambee Stars Robert Mambo ametakia vijana wa timu chipukizi Rising Stars kila la kheri katika mashindano ya Afcon...
Miamba wa Uhispania kilabu ya Barcelona kina kibarua kigumu mechi ya mkondo wa pili nchini Italia baada ya kutoka sare ya magoli 3-3 dhidi ya Intermilan...
Mkufunzi wa kilabu ya Arsenal Mikel Arteta angali na imani kwamba vijana wake watanyuka Psg ugenini na kufuzu kwenye fainali ya kilabu bingwa ulaya wiki ijayo...
Nahodha wa Kikosi cha Soka vijana chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 Rising Stars Amos Wanjala amesema kwamba lengo lao kuu ni kufuzu kombe la dunia...
Sasa Ni rasmi kwamba kilabu ya Livrpool ndiyo mabingwa wa Ligi kuu Uingereza baada ya kuvuna ushindi mnono wa magoli 5-1 dhidi ya Tottenham Hotspurs Ugani...
Miamba wa Uingereza kilabu ya Liverpool kutangazwa mabingwa wapya wa ligi kuu EPL Wikendi hii iwapo watatoka sare ya aina yoyote dhidi ya kilabu ya Tottenham...
Mkufunzi wa kilabu ya kiifi united Samson Jumbe amesema kwamba ana Imani vijana wake watarejea katika hali ya kupata matokeo chanya licha ya vijana wake kupoteza...
Mkufunzi wa kilabu ya akina Dada ya Moving The Goal Post marufu kama MTG United kaunti hii ya Kilifi Fadhili Hamisi marufu coach Tibo amesema kwamba...
Rais wa FKF Hussein Mohamed amesema kwamba shirikisho hilo lilipata shilingi milioni 6.9 na wala si milioni 9.1 kama ilivyoripotiwa mechi ya Harambee stars dhidi ya...