Kenya imechaguliwa kuandaa mashindano ya mchezo wa Karate wa mabingwa barani Africa wa shirikisho la Japan Karate Association JKA mwaka 2027. Hii ni mara ya kwanza...
Kilabu ya akina dada Kenya Police Bullets ndiyo mabingwa wa ligi ya taifa akina dada kwpl baada ya kuwanyuka Trinity starlets magoli 4-0 mechi ya mwisho...
Miamba wa Uingereza kilabu ya Manchester United imetinga kwenye fainali ya Europa ligi msimu huu kishindo bila kupoteza hata mechi moja. Haya yanajiri baada ya vijana...
Uefa Kilabu ya PSG ya Ufaransa kucheza dhidi ya Inter ya Italia kwenye fainali ya uefa baada ya kunyamazisha kabla ya kuzimisha kilabu ya Arsenal kipigo...
Debi la mashemeji kati ya mahasimu wa tangu jadi kilabu ya Gor Mahia na Afc leopards siku ya jumapili kuendelea kama ilivyopangwa haya ni kwa mujibu...
Miamba wa Italia kilabu ya Inter Milan imekua ya kwanza kutinga awamu ya fainali kilabu bingwa Ulaya baada ya kunyuka FC Barcelona kichapo cha magoli 4-3...
Mkufunzi wa kilabu ya Inter Milan ya Italia Simeone Inzaghi amesema kwamba mechi ya leo kati yao na Fc Barcelona ni kufa kupona wakilenga tiketi ya...
Mabingwa mara 21 ligi kuu humu nchini kilabu ya Gor Mahia imeilaumu shirikisho la soka nchini FKF pamoja na kamati inayosimamia ratiba ya mechi za ligi...
Beki wa taifa la Uingereza Alexander Trent Arnold ametangaza kugura kilabu ya Liverpool baada ya msimu huu kukamilika. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ametangaza...
Miamba wa Uingereza kilabu ya manchester united imeweka guu moja fainali ya UEFA Europa Ligi baada ya ushindi wao mnono wa magoli 3-0 dhidi ya Athletic...