Kiungo mshambulizi wa Harambee starlets Martha Amunyolet amesema kwamba analenga kuwa mfungaji bora kwenye Makala yam waka huu ya CECAFA nchini Tanzania Kiungo huyo wa Kilabu...
Gwiji wa mchezo wa tae-kwon-do mwanadada Caroline Wairimu Kihurani ambaye aliaga dunia wiki jana jijini Nairobi anazidi kusherehekewa na wengi kutokana na mchango wake mkubwa katika...
Naibu kocha wa Shujaa Louis Kisia amemtaja winga wa kilabu ya Nakuru Rfc Chrisant Ojwang wakati wa kukitaja kikosi cha Morans kwa ajili ya mashindano ya...
Ratiba ya msimu mpya 2025/26 wa ligi kuu uingereza imetolewa rasmi na chama cha soka uingereza FA Mabingwa watetezi Liverpool vs Bounemouth Ijuma Agosti 15 Jumamosi...
Mabingwa watetezi wa soka kwa shule za upili kaunti ya Mombasa upande wa wavulana, shule ya upili ya SERANI walianza vyema kampeni ya kutetea taji lao...
Timu ya Taifa ya soka akina dada Harambee Starlets imeendeleza ilipoachia mechi ya pili taji la CECAFA ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kunyuka Crested Cranes...
Rais wa Shirikisho la mchezo wa soka nchini Hussein Mohammed amefichua kwamba wamelipa badhi ya marupurupu kwa kikosi cha soka kwa akina dada Harambee Starlets. Hata...
Kiungo mshamabulizi wa kilabu ya Brenford na Cameroon Bryan Mbeumo ameweka wazi kuwa anapendelea kujiunga na kilabu ya Manchester United pekee msimu huu. Mchezaji huyo ambaye...
Kikosi cha Taifa mchezo wa Handiboli wachezaji chipukizi kuanza rasmi mashindano ya kombe la dunia hapo kesho mjini Tunis Tunisia. Kulingana na droo iliyofanywa hii leo...
Kikosi cha soka akina dada Harambee Starles imeanza vema mashindano ya ukanda wa Afrika Mashriki na kati CECAFA ambayo yanandelea mjini Dar es Salaam Tanzania. Hii...