UTEUZI wa Chelsea wa nyota aliyestaafu hivi karibuni wa ligi ya raga Willie Isa kusaidia wachezaji umepongezwa na kocha wake wa zamani. Isa amehamia Stamford Bridge...
Mkufunzi wa Timu ya taifa Harambee starlets Beldine Odemba ana amini kwamba uwepo wa mashabiki katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex Ijumaa hii itawapa msukumo timu...
Klabu ya Manchester United imeonywa kuhusu Ruben Amorim kutaka kuondoka Old Trafford huku utawala wake mbaya ukiendelea, jarida la The Mirror limebaini. Amorim aliwasili wakati wa...