SIKU 9 KUNGOA NANGA KWA CHAN ANGOLA-Mabingwa wa Taji La COSAFA. Wanajiita The Black Antelopes kwa jina la utani ila bado hawajashinda kombe la CHAN katika...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Uhispania imetinga fainali ya kombe la Mataifa ya Ulaya kwa Wanawake mwaka 2025, WEURO 2025 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi...
Mkufunzi wa timu ya soka Harambee Stars Benni Mccarthy amekitaja kikosi chake cha mwisho chenye wachezaji 25 tayari kwa kombe la Chan mwezi ujao,vijana wa nyumbani...
SENEGAL SENEGAL-Wanajiita The Lions of Teranga kwa jina la Utani. Ni mabingwa watetezi wa kombe la CHAN wakishinda kombe hilo na lao la pekee mwaka 2022...
Mkufunzi wa Timu ya Taifa ya Soka Harambee Stars Benni McCarthy amesema kwamba walienda Tanzania kushiriki Kombe la CECAFA wakiwa na azma na ari kubwa ya...
Mabingwa watetezi wa michuano ya kombe la Mataifa ya Ulaya kwa Wanawake #WEURO Uingereza (England) wametinga fainali ya michuano hiyo kwa mwaka 2025, #WEURO2025 kufuatia ushindi...
Bi Rute Cardoso Mke wa aliyekuwa mshambuliaji wa Liverpool Marehemu Diogo Jotta amepost ujumbe wa kuadhimisha mwezi mmoja wa ndoa yao ikiwa ni siku chache tangu...