Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor Hassan amewahakikishia wakaazi wa kaunti hiyo pamoja na watalii wanaolenga kuzuru mjini Mombasa kwamba usalama umeimarishwa hata wakati wa...
Mamlaka ya Mazingira nchini NEMA imefanya kikao na waathiriwa wa sumu ya Lead kutoka kijiji cha Owino Uhuru eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa ili...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amemuachisha kazi Katibu wa kaunti hiyo Martin Mwaro kutokana na utendakazi duni na ukosefu wa uadilifu. Gavana Mung’aro amemteua Catherine Kenga ambaye ni Waziri...
Maafisa wa Polisi mjini Mombasa wanamzuilia mwanamme mmoja baada ya kupatikana akiwa amebeba risasi na bidhaa zengine zinazokisiwa kuwa vilipuzi katika kivuko cha Feri cha Likoni....
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo mkuu la Malindi Willybard Lagho, ametoa onyo kali kwa viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia vibaya Kanisa na kuendeleza maswala ya...
Katibu katika Wizara ya Leba nchini Shadrack Mwadime amesema visa vya wakenya kuteswa na kuuwawa katika mataifa ya ughaibuni hasa nchini Saudia Arabia vimepungua pakubwa. Mwadime...
Mahakama ya Shanzu katika kaunti ya Mombasa imeagiza mshukiwa wa kundi la kigaidi la Al-Shabab Ramadhan Mohammed Hassan kuzuiliwa kwa siku 14 zaidi ili kuwawezesha maafisa...
Maafisa wa Idara ya upelelezi nchini DCI wamemtia nguvuni Mhubiri tata Julius Kimtai Kipngeny wa Kanisa la Mlango wa Miujiza Deliverance katika eneo la Mishomoroni kaunti...
Kikao cha kujadili jinsi kijiji cha Owino Uhuru katika eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa kitakavyosafishwa sumu ya Lead kimetibuka. Hii ni baada ya wakaazi...
Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa umma nchini Justin Muturi amejitokeza na kupinga kauli ya Rais William Ruto aliyoitoa siku chache zilizopita kwamba alifutwa kazi kwa misingi...