Wakereketwa wa maswala ya kisiasa katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamelitaka jopokazi la uteuzi wa Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na...
Mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA imezitaka serikali za kaunti kulipa malimbikizi ya madeni ya jumla ya shilingi bilioni 3.5 zinazodaiwa na Mamlaka hiyo. Kulingana na...
Kenya ilirekodi jumla ya watalii milioni 7.6 mwaka wa 2024, hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 11 ikilinganishwa na mwaka 2023. Waziri wa Utalii nchini Rebecca...
Afisa mkuu wa Polisi eneo la Matuga kaunti ya Kwale William Cheruiyot Koros ameaga dunia. Idara ya usalama katika kaunti ya Kwale imethibitisha kutokea kwa kifo...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu katika eneo bunge la Malindi na Magarini kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali ya kitaifa kuongeza muda wa kuvifanyia vipimo vinasaba...
Msanii maarufu wa Uganda, Jose Chameleone, amekanusha vikali uvumi unaodai kuwa amefungwa gerezani, akibainisha kuwa yuko hospitalini kwa ajili ya upasuaji muhimu. Haya yanajiri baada ya...
Watu wawili wanaoshukuwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Alshabab wametiwa nguvuni na maafisa wa kupambana na magaidi nchini ATPU katika kaunti ya Mandera. Kulingana...
Jaji mkuu nchini Martha Koome ameelezea kutamaushwa na ufisadi ambao bado umekithiri katika idara mbalimbali za umma, akisema ufisadi humu nchini umekuwa tatizo la kitaifa ambalo...
Mahakama ya ardhi na mazingira katika kaunti ya Mombasa imeahirisha uamuzi wa kesi dhidi ya kampuni ya Mayport Limited inayohusishwa na mfanyabishara maarufu Mohamed Jaffar. Mlalamishi...
Idara ya mazingira katika kaunti ya Kilifi imeanzisha mchakato wa kuvifunga vilabu na maeneo ya burudani mjini Malindi ambayo yamekuwa na tabia ya kuchezesha mziki wa...