Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani Dkt Raymond Omollo amesema baadhi ya miili waliofukuliwa katika makaburi ya halaiki kwenye msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi...
Mwanasiasa Oscar Nzai amepongeza ushirikiano wa utendakazi kati ya Rais William Ruto na Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, akisema ushirikiano huo utazikabili changamoto zinazowakumba...
Naibu Gavana wa kaunti ya Kilifi Flora Mbetsa Chibule amesema serikali ya kaunti ya Kilifi imeweka mikakati bora ya kuhakikisha hospitali na zahanati zote za umma...
Inspekta jenerali wa polisi nchini Douglas Kanja, amewataka maafisa wa usalama nchini kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa kuzingatia sheria za nchi. Kanja amesema ni sharti maafisa...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amewaonya madaktari na wahudumu wengine wa afya katika kaunti hiyo wenye hulka ya kuiba madawa hospitalini, akisema kwamba watakaopatikana...
Jopo la uteuzi wa Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, linatarajiwa kuanza zoezi la kuwapigwa msasa wakenya waliotuma maombi ya kujaza...
Wakaazi wa mtaa wa Owino Uhuru katika eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa, walioathirika na sumu ya madini ya kemikali ya Lead wanalalamikia kucheleweshwa kwa...
Baadhi ya maeneo katika eneo bunge la Samburu, Kinango na Lungalunga kaunti ya Kwale huenda yakaathirika zaidi na ukame kutokana na kiangazi kikali kinachoendelea kushuhudiwa. Kulingana...
Wanaharakati wa kijamii katika kaunti ya Kilifi wameishinikiza serikali ya kitaifa kukamilisha mradi wa ujenzi wa daraja la Baricho katika gatuzi dogo la Magarini ili kuboresha...
Mahakama ya Shanzu mjini Mombasa imemtaka Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini ODPP Renson Ingonga kuwasilisha mashtaka sahihi dhidi ya wakurugenzi wakuu wawili wa chuo...