Gavana wa Lamu Issah Timamy amewataka wakaazi wa kaunti ya Lamu kuzilinda raslimali zilizoko kwenye kaunti hiyo. Akizungumza katika eneo la Mbwajumwali Gavana Timamy amesema kumekuwa...
Kijana wa umri wa miaka 15 ameripotiwa kujitoa uhai katika kituo cha polisi cha Bamba eneo bunge Ganze kaunti ya Kilifi, alipokuwa akizuiliwa. Kulingana na taarifa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 88. Uongozi wa Kanisa Katoliki umethibitisha kifo chake na kusema kwamba Papa...
Kamanda wa Polisi kanda ya Pwani Ali Nuno amesema usalama umeimarishwa msimu huu wa sherehe za Sikukuu ya Pasaka huku akiwataka wakaazi pamoja na wageni wa...
Waumini wa Kanisa Katoliki kote ulimwenguni wamejitokeza kuadhimisha ibada ya njia ya msalaba, wakiashiria ukumbusho wa mateso ambayo Yesu Kristu alipitia kabla ya kufa na kufufuka...
Kamanda wa polisi kaunti ya Kwale Reginald Omaria amewaonya wakaazi dhidi ya kuranda randa ovyo katika fuo za bahari hindi katika masaa yasiokubalika na kwamba atakayepatikana...
Rais William Ruto ameshuhudia kuapishwa kwa mawaziri wawili wapya pamoja na makatibu katika Wizara mbalimbali nchini katika halfa iliyoandaliwa katika Ikulu ya Nairobi. Wakati wa halfa...
Mbunge wa Kilifi kusini Ken Chonga ameikemea Idara ya Polisi kwa kukiuka sheria na kushirikiana na mabwenyenye kuwahangaisha wakaazi kwenye ardhi zao. Chonga amekariri kwamba kutokana...
Wahudumu wa sekta ya uchukuzi mjini Kilifi kaunti ya Kilifi wanashinikiza serikali kuu na ile ya kaunti kuzingatia ukarabati wa barabara ya Kibaoni-Ganze hadi Bamba licha...
Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini imetoa tahadhari kwa wakenya kuhusu mvua kubwa itakayonyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa kipindi cha siku saba. Mkurugenzi wa idara ya...