Serikali ya kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa kupitia Shirika la usambazaji umeme la REREC wanaendeleza mpango wa usambazaji umeme katika kaunti ya...
Waziri wa Afya nchini, Deborah Barasa, amekiri kuwepo na changamoto za utoaji wa huduma za afya kupitia mfumo mpya wa bima ya afya nchini SHA. Waziri...
Wafanyabiashara wa Soko la Mtwapa kaunti ya Kilifi wamelalamikia ukosefu wa maji kwenye Soko hilo ambapo wafanyibiashara wengi wanalitegemea kuendeleza shughuli zao za kila siku. Kulingana...
Wafanyibiashara katika sekta ya utalii mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameelezea kudorora kwa sekta hiyo kutokana na hatua ya mahoteli mengi eneo hilo kufungwa. Wakizumguza na...
Mmiliki na mjasiriamali wa lebo ya Wasafi Media na WCB Wasafi, Diamond Platnumz ameelekea mahakamani kumshtaki mpenzi wake wa zamani kwa kile alisema kwamba anatumia picha...
UTEUZI wa Chelsea wa nyota aliyestaafu hivi karibuni wa ligi ya raga Willie Isa kusaidia wachezaji umepongezwa na kocha wake wa zamani. Isa amehamia Stamford Bridge...
Mkufunzi wa Timu ya taifa Harambee starlets Beldine Odemba ana amini kwamba uwepo wa mashabiki katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex Ijumaa hii itawapa msukumo timu...
Wakereketwa wa maswala ya kisiasa katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamelitaka jopokazi la uteuzi wa Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na...
Mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA imezitaka serikali za kaunti kulipa malimbikizi ya madeni ya jumla ya shilingi bilioni 3.5 zinazodaiwa na Mamlaka hiyo. Kulingana na...
Kenya ilirekodi jumla ya watalii milioni 7.6 mwaka wa 2024, hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 11 ikilinganishwa na mwaka 2023. Waziri wa Utalii nchini Rebecca...