Wakaazi wa maeneo ya Matano Mane katika wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi wameandamana na kufunga barabara ya kutoka Chuo cha ufundi cha Godoma inayopitia shule...
Mahakama ya Malindi kaunti ya Kilifi imetoa amri ya kusitishwa kwa utekelezwaji wa bima ya matibabu ambayo inapeanwa na serikali ya kaunti ya Kilifi. Hii ni...
Leo ni siku ya Malaria Duniani. Katika siku hii wizara ya Afya imeandaa hafla ya hamasisho linatolewa kuhusiana na juhudi za kuudhibiti kabisa ugonjwa huu hatari...
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa vijana katika bara hili la afrika kuwa katika mstari wa mbele katika kuhakikisha kwamba kuna umoja kwenye bara hili....
Maafisa wa usalama kaunti ya Kilifi wanamzuilia mchungaji tata Abel Kahindi Gandi wa kanisa la New Foundation lililoko Chakama eneo bunge la Magarini kuhusiana na vifo...
Miamba wa Uingereza kilabu ya Liverpool kutangazwa mabingwa wapya wa ligi kuu EPL Wikendi hii iwapo watatoka sare ya aina yoyote dhidi ya kilabu ya Tottenham...
Mkufunzi wa kilabu ya kiifi united Samson Jumbe amesema kwamba ana Imani vijana wake watarejea katika hali ya kupata matokeo chanya licha ya vijana wake kupoteza...