Kenya ilirekodi jumla ya watalii milioni 7.6 mwaka wa 2024, hii ikiwa ni ongezeko la asilimia 11 ikilinganishwa na mwaka 2023. Waziri wa Utalii nchini Rebecca...
Afisa mkuu wa Polisi eneo la Matuga kaunti ya Kwale William Cheruiyot Koros ameaga dunia. Idara ya usalama katika kaunti ya Kwale imethibitisha kutokea kwa kifo...
Wakaazi wa maeneo ya Mashamba na Msabaha wadi ya Ganda katika kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali ya kaunti kupitia idara ya barabara kuifanyia ukarabati barabara ya...
Baraza la vyombo vya habari nchini MCK limewataka Wanahabari kuzingatia maadili ya taaluma yao wakati wa kuripoti taarifa mbalimbali nchini ikiwemo maswala la uchumi wa bahari....
Ili kuhakikisha wakaazi wa kaunti za Pwani wanafahamu kinachojadiliwa na kupitishwa katika mabunge ya kaunti ni vyema iwapo mabunge hayo yatawekeza mbinu za kisasa za kiteknolojia...