Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaendelea kuonyesha nia ya kuekeza katika mradi wa kiuchumi wa dongo kundu kaunti ya Mombasa. Mradi huo unaotarajiwa kuongeza...
Mungano wa Wazee wa Kaya za Mijikenda umeelezea kusikitishwa na hatua ya serikali ya kaunti ya Kilifi ya kupanga kuandaa tamasha za tamaduni za jamii ya...
Shirika la usambazaji umeme nchini, KETRACO, limethibitisha dhamira yake ya kuimarisha usalama wa chakula, ukuaji wa kijani, na ushirikiano wa kieneo kupitia uekezaji mkubwa katika miundombinu...
Muungano wa mashirika ya kukabilina na athari za mabadiliko ya tabia nchi chini ya mpango wa WISER KENYA umetaja kaunti za Tanariver na Garissa kama zinazoathirika...
Mbunge wa Wundanyi Danson Mwashako alielezea kukerwa na madai ya ufisadi yanayoendelea kushughudiwa humu nchini hasa kwenye Bima ya afya ya jamii nchini SHA. Mwashako alisema...
Muungano wa bodi za kudhibiti na kutoa leseni za vileo nchini umepinga vikali pendekezo la Sera ya Mwaka 2025 ya Mamlaka ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe...
Jumla ya wachungaji 85 kutoka wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi wanaendelea kupokea mafunzo ya kidini kuhusu sheria zinazoambatana na utoaji wa...
Wavuvi kaunti ya Kwale walalamikia kukandamizwa na wavuvi kutoka taifa jirani la Tanzania kufuatia mizozo ya mipaka. Kulingana nao wavuvi hao, wamekua wakinyanyaswa na hata kutozwa...
Afisa anayesimamia gereza la Shimo la Tewa, Abdi Willy Adan amekanusha madai yalioibuliwa na mhubiri tata Paul Mackenzie kwamba maisha yake yako hatarini akiwa katika gerezani...
Jamii ya wadigo katika kaunti ya Kwale imejitokeza na kuikosoa serikali dhidi ya kauli yake kwamba kuna tetesi za kuzuka kwa vuguvugu la Mombasa Repubilican Council...