Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amesema kaunti ya Kwale imepiga hatua katika kuimarisha sekta ya uvuvi na uchumi samawati. Gavana Achani ameihimiza serikali ya...
Wazazi na walimu kaunti ya Kwale wameshinikiza kuhimiza wanafunzi kujiunga zaidi na kundi la maskauti kutokana na idadi ndogo ya maskauti kaunti hiyo. Akizungumza wakati wa...
Maafisa wa usalama eneo la pwani wanasema wamewakamata wanaume 9 wa umri kati ya miaka 26 hadi 30 kwa tuhuma za wizi eneo la Mtwapa kaunti...
Shughuli za masomo katika shule ya msingi ya Arabuko Sokoke eneo la Kakuyuni kaunti ya Kilifi zilitatizika mapema siku ya Ijumaa baada ya Wazazi kuandamana wakilalamikia...
Kiongozi wa Chama cha People’s Liberation Party, PLP nchini Kenya Martha Karua, aliwasili nchini Uganda katika juhudi za kumuakilisha Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Bessigye...
Waziri wa Leba nchini Dakta Alfred Mutua amewaonya vijana waliopata nafasi za ajira ughaibuni dhidi ya kujihusisha na visa vya utovu wa nidhamu. Akizungumza wakati wa...
Mapigano mapya yamezuka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya Waasi wa kundi la M23 kufutilia mbali pendekezo la ahadi za hapo awali za...
Mahakama kuu imeagiza kutoapishwa na kuchapishwa katika gazeti rasmi la serikali majina ya Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC. Jaji wa...
Mahakama ya Ardhi na Mazingira mjini Malindi imeahirisha uamuzi wa kesi ya kupinga mradi wa Kawi ya Mawe katika kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu. Mahakama...
Wakaazi wa kaunti ya Lamu kwa ushirikiano na Shirika la kijamii la Save Lamu wamefanya maandamano ya amani kupinga mradi wa uzalishaji wa Kawi ya Mawe...