Mahakama ya Shanzu katika kaunti ya Mombasa imeagiza mshukiwa wa kundi la kigaidi la Al-Shabab Ramadhan Mohammed Hassan kuzuiliwa kwa siku 14 zaidi ili kuwawezesha maafisa...
Maafisa wa Idara ya upelelezi nchini DCI wamemtia nguvuni Mhubiri tata Julius Kimtai Kipngeny wa Kanisa la Mlango wa Miujiza Deliverance katika eneo la Mishomoroni kaunti...
Kikao cha kujadili jinsi kijiji cha Owino Uhuru katika eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa kitakavyosafishwa sumu ya Lead kimetibuka. Hii ni baada ya wakaazi...
Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa umma nchini Justin Muturi amejitokeza na kupinga kauli ya Rais William Ruto aliyoitoa siku chache zilizopita kwamba alifutwa kazi kwa misingi...
Mwenyekiti wa baraza kuu la mashauri ya kiislamu nchini KEMNAC Sheikh Juma Ngao, amemtaka Rais William Ruto kulifutilia mbali jopo ambalo liliteuliwa siku chache zilizopita la...