Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT tawi la Kilifi kimelalakimia serikali kuu kuhusu kuchelewa kusambaza mgao wa fedha wa kuendeleza shughuli za masomo. Katibu...
Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT kimeahidi kuishinikiza serikali kuongeza asilimia 60 ya mshahara kwa walimu pamoja na nyongeza ya asilimia 30 kama marupurufu....
Naibu Rais Prof Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kwamba uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027 utakuwa huru, haki na amani. Kindiki amemshtumu Kinara wa Chama cha...
Kizaazaa kilishuhudiwa katika majengo ya bunge la kaunti ya Kilifi baada ya Wawakilishi wadi ambao ni Wanachama wa Kamati ya bajeti katika bunge hilo kutofautiana kuhusu...
Mahakama kuu ya Mombasa imeanza kuskiliza kesi ya mauaji ya aliyekuwa Kaimu Meneja wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC katika kaunti ya Kilifi...
Muungano wa Wazee wa Kaya eneo la Pwani unaitaka serikali ya kitaifa kubuni mikakati ya kuhakikisha bandari ya Mombasa inawafaidi wenyeji wa Pwani hasa katika suala...
Wabunge wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza wameapa kuidhinisha orodha ya makamishna pamoja na Mweneyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC punde tu itakapowasilishwa...
Katibu mkuu wa Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini (KNUT) Collins Oyuu ameitaka serikali kuu kuharakisha mchakato wa kusambaza fedha za kufadhili masomo shuleni. Oyuu...
Rais William Ruto amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC na makamishna 6 wa tume hiyo ili kufanikisha...
Kadinali Robert Francis Prevost kutoka taifa la Marekani ndiye Papa mpya aliyechaguliwa kuongoza Kanisa Katoliki kote duniani. Kadinali Prevost amechagua jina la Papa Leo XIV. Papa...