Mkurugenzi wa Shirika la Centre for Justice, Governance & Environmental Action, Phyllis Omido alisema nishati ya Nyuklia inayopania kuwekezwa katika eneo la Uyombo wadi ya Matsangoni...
Mhubiri mwenye utata Gilbert Deya ameaga dunia baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Namba-Kapiyo kwenye barabara ya Bondo-Kisian maeneo ya Nyanza ajali...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos Ogamba, alisema serikali imeanzisha mipango ya kuimarisha idara ya ukaguzi wa shule ili kuhakikisha fedha zinazotengewa taasisi za elimu zinatumika...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano ya amani katikati mwa jiji la Mombasa wakimtaka Naibu Inspekta jenerali wa Polisi Eliud Lagat...
Maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia siku ya Jumanne 17, Juni 2025 walimfyatulia risasi mchuuzi mmoja aliyekuwa akiuza barakoa karibu na barabara ya Moi katikati...
Maandamano ya vijana wa Gen Z jijini Nairobi wanaoshinikiza Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat kujiuzulu yalikumbwa na changamoto baada kundi la vijana wahuni kuingilia...
Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswada wa kupambana na utakatishaji Fedha na kufanyia marekebisho sheria ya kupambana na ufadhili wa ugaidi ya 2025. Mswada...
Mwanasiasa na Mfanyibiashara Lung’anzi Chai amelalamikia huduma duni mashinani zinazotolewa na viongozi walio mamlakani kaunti ya Kwale, akisema wakaazi wengi wamekuwa wakihangaika kwa kukosa huduma bora....
Serikali ya kitaifa imezindua mpango wa msaada wa shilingi milioni 60 kwa wakazi wa Tana River walioathiriwa na mafuriko ya kudumu. Mpango huo ulizinduliwa na katibu...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ametoa taarifa kuhusu hatua ambazo zimepigwa na wizara hiyo katika kuimarisha usalama. Akizungumza katika jumba la Harambee jijini Nairobi,...