Serikali imeagiza vituo vyote vya habari vya runinga za kitaifa na radio kusitisha mara moja matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea katika maeneo mbalimbali...
Wafanyibiashara mjini Kilifi kaunti ya Kilifi wamewataka vijana kuwa makini wakati wa maandamano ili kuepuka uharibifu wa mali. Kulingana na wafanyibiashara hao kumekuwa na uharibifu wa...
Wavuvi kutoka eneo la Old Ferry wanadai kuna baadhi ya wavuvi ambao wanatumia nyavu ambazo zilipigwa marufuku. Kulingana na wavuvi, Nyavu hizo zinavua hadi samaki wadogo...
Wakenya wa tabaka mbalimbali wamejitokeza katikati mwa miji mkuu nchini Kenya ikiwemo Nairobi, Mombasa, Nakuru, miongoni mwa miji mingine kuadhimisha makumbusho ya Juni 25. Maandamano hayo...
Wadau wa kupambana na dhulma za kijinsia mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kitaifa kuifanyia marekebisho sheria ya adhabu na dhamana inayopewa washukiwa wa...
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran yameanza kutekelezwa huku nchi hizo mbili zikithibitisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu hatua hiyo....
Muungano wa waendeshaji wa tuktuk katika kaunti ya Kwale umetaka serikali ya kaunti hiyo kuwatengea sehemu maalum ya kudumu ya maegesho. Madereva hao walisema kuwa sekta...
Kenya inapolenga kuongeza ushuru unaokusanywa katika sekta ya uchukuzi wa angani, suala la usalama wa ndege zinazosafiri kupitia mataifa yanayoshuhudia ghasia limeibua wasiwasi. Mkurugenzi wa Halmashauri...
Mama wa Taifa Rachel Ruto amesema serikali kuu inaendeleza mikakati thabiti kuhakikisha kila mmoja hapa nchini anawezeshwa vilivyo wakiwemo wajane ili waweze kujiendeleza kimaisha. Mama wa...
Rais William Ruto ameahidi kuwaunga mkono maafisa wa polisi katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda haki za kila mwananchi. Rais Ruto alisisitiza haja ya kulinda pia...