Wizara ya afya nchini imesema kaunti ya Mombasa inaongoza kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa Mpox. Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa idara ya afya...
Jamii ya wavuvi katika eneo la Watamu eneo bunge la Kilifi Kaskazini inaiomba serikali ya kaunti ya Kilifi na ile ya kitaifa kununua boti za uokozi...
Seneta mteule katika kaunti ya Mombasa Miraj Abdillahi ameunga mkono mpango wa gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Shariff Nassir wa kuzindua vitambulisho maalumu kwa wenyeji wa...
Waumini wa kanisa la Wesley Methodist kaunti ya Mombasa wametoa wito kwa usimamizi wa kanisa hilo kutafuta suluhu la kudumu kutokana na mvutano ambao umekuwa ukishuhudiwa...
Zaidi ya familia elfu 5 eneo la Matuga kaunti ya Kwale zinahofia kufurushwa katika ardhi zao yenye zaidi ya ekari elfu 6. Ardhi hizo zilikamilisha mda...
Mshauri wa rais katika maswala ya kisiasa Karisa Nzai amemkosoa kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua kwa madaia ya kuendeleza siasa za ukabila. Akizumgumza katika...
Mwakilishi wadi ya Ganze Karisa Ngirani anadai baadhi ya wadi ndani ya eneo bunge la Ganze zimekuwa zikitelekezwa katika maswala ya ugavi wa raslimali katika kaunti...
Mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu Mwabili Mwagodi ambaye alidaiwa kutekwa nyara akiwa nchini Tanzania sasa amepatikana. Mkurugenzi wa Shirika la kutetea haki za kibinamu nchini...
Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara ambaye ni raia wa Uholanzi, Rowenhorst Herman na mlinzi wake Evans Bokoro imeahirishwa hadi mwezi Oktoba mwaka huu kufuatia Mahakama kuingia...
Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana amewataka wenyeji wa kaunti hiyo kujiepusha na wanasiasa ambao wanaingiza siasa kwenye masuala ya maendeleo. Godhana alisema hilo...