Kilabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa kiungo mshambulizi wa kilabu ya Wolves Matheus Cunha raia wa Brazil. Kupitia kwenye tuvuti ya kilabu hiyo imetangaza kukubaliana...
Uongozi wa klabu ya Inter Milan uko radhi kurefusa mkataba wa kocha Simone Inzaghi licha ya kufeli kutwaa taji la klabu bingwa Uropa siku ya jumamosi....
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ndio mabingwa wa Klabu bingwa Uropa baada ya kuilaza Inter-Milan magoli 5-0 Jumamosi usiku, katika fainali iliyochezewa katika uwanja wa Allianz Arena jijini...
Kilabu ya Manchseter City iko kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na kiungo wa AC Milani Tijjani Reijnders kumleta ugani Etihad msimu ujao. Mawakala wa mchezaji...
Kilabu ya Arsenal imeambiwa ni lazima itoe kitita cha pauni milioni 75 kunasa huduma za mshambulizi wa taifa la Slovenia na kilabu ya RB Leipzig Benjamin...
Beki wa kilabu ya Bayern Leverkusen Jeremie Frimpong ni rasmi amejiunga na mabingwa wa ligi kuu Uingereza Liverpool. Beki huyo mholanzi amejiunga na The Reds kwa...
Kilabu ya Real Madrid imtangaza kupata sahihi ya beki wa taifa la Uingereza na kilabu ya Liverpool Alexander Trent Arnold. Miamba hao wa Uhispania inaaminika imelipa...
Mkufunzi mshikilizi wa kilabu ya Gor Mahia Zedekiah Zico Otieno amesema kwamba ni wakati mwafaka kwa mechi nyingi za debi la Mashemeji kati mahasimu wa tangu...
Sasa ni rasmi kwamba mshambulizi wa timu ya soka Harambee Stars Engineer Michael Ogada Olunga ametangaza kuachana na waajiri wake kilabu ya Al- Duhail ya Qatar...
Kilabu ya Chelsea ya Uingereza imekua ya kwanza kushinda taji la Kilabu Bingwa Ulaya,taji la Uefa Europa ligi,Uefa Supa Cup na Taji la Conference ligi katika...