Kilabu ya Chelsea imetangaza kumpa jezi namba 10 kiungo mbunifu wa kilabu hiyo Cole Palmer raia wa Uingereza baada ya kuonyesha ubora wake tangu kusajiliwa kutoka...
Kilabu ya Manchester United imewasilisha ofa ya pauni milioni 55 kwa kilabu ya Brenford kuhusiana na uhamisho wa winga matata Bryan Mbeumo raia wa Cameroon. Hata...
Timu ya taifa Harambee Stars imefanya mazoezi ya kwanza nchini Morocco inapojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Chad hapo kesho. Vijana wa nyumbani waliwasili nchini...
Mabingwa watetezi wa soka kwa shule za upili eneo la Likoni Moi Forces Academy walianza vyema kampeni ya kutetea taji lao kwa kupata ushindi katika mechi...
Timu ya taifa Harambee Stars kushuka dimbani kucheza na Chad Juni 7,mechi hio ya kirafiki ikipigwa katika ardhi ya morocco kabla ya mechi ya pili juni...
Kilabu ya Chelsea imelipa ada ya pauni milioni 5 na kuvunja mkataba kati yao na winga wa Manchseter United Jadon Sancho ambaye amekuwepo kilabuni humo japo...
Ni taarifa nzuri kwa mashabiki wa kilabu ya Manchester United kwani ,Kiungo na nahodha wa kilabu ya Manchester united Bruno Fernandes amekataa ofa ya pauni milioni...
Mkufunzi wa Kilabu ya Gor Mahia Zedekiah Zico Otieno amekubali kwamba ligi imewaponyoka baada ya kutoka sare na kilabu ya Afc Leopards ugani raila odinga katika...
Mshambulizi wa kilabu ya Ipswich Town na timu ya taifa Uingereza Liam Delap amekamilisha sehemu ya kwanza ya vipimo vya kimatibu anapokamilisha uhamisho wake katika kilabu...
Mashemeji Derby Kilabu ya Gor Mahia kuzindua uhasama na watani wao wa tangu jadi kilabu ya Afc Leopards katika debi la 97 leo uwanjani Raila Odinga...