Timu ya Kenya Police FC imetawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya FKF kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake, katika mechi ya mwisho dhidi ya Gor...
Kilabu ya Liverpool imekubaliana na AFC Bournemouth kuhusiana na uhamisho wa pauni milioni 4o kwa beki Milos Kerkez raia wa Serbia. Tineja huyo anatarajiwa kuwasili Liverpool...
Kikosi cha soka akina dada kushuka dimbani kucheza dhidi ya Twiga Stars Ya Tanzania kwenye fainali ya kipute cha CECAFA Afrika Mashariki ugani Azam Sports Complex....
Shirikisho la kandanda Barani Afrika CAF imethibitisha kwamba mji wa Nairobi atakua mwenyeji wa fainali ya kombe hilo ambalo linaandaliwa na nchi tatu za Afrika Mashariki...
Kiungo mshambulizi wa Harambee starlets Martha Amunyolet amesema kwamba analenga kuwa mfungaji bora kwenye Makala yam waka huu ya CECAFA nchini Tanzania Kiungo huyo wa Kilabu...
Gwiji wa mchezo wa tae-kwon-do mwanadada Caroline Wairimu Kihurani ambaye aliaga dunia wiki jana jijini Nairobi anazidi kusherehekewa na wengi kutokana na mchango wake mkubwa katika...
Naibu kocha wa Shujaa Louis Kisia amemtaja winga wa kilabu ya Nakuru Rfc Chrisant Ojwang wakati wa kukitaja kikosi cha Morans kwa ajili ya mashindano ya...
Ratiba ya msimu mpya 2025/26 wa ligi kuu uingereza imetolewa rasmi na chama cha soka uingereza FA Mabingwa watetezi Liverpool vs Bounemouth Ijuma Agosti 15 Jumamosi...
Mabingwa watetezi wa soka kwa shule za upili kaunti ya Mombasa upande wa wavulana, shule ya upili ya SERANI walianza vyema kampeni ya kutetea taji lao...
Timu ya Taifa ya soka akina dada Harambee Starlets imeendeleza ilipoachia mechi ya pili taji la CECAFA ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kunyuka Crested Cranes...