Waziri wa Usalama wa ndaani Kipchumba Murkomen amesema kwamba Taifa la Kenya liko tayari kwa kipute cha CHAN mwezi ujao. Akizungumza na wanahabari hapo jana Murkomen...
Kilabu ya wanabenki KCB ya wanawake ndiyo mabingwa wa Voliboli taji mpya la Kenya Cup fainali iliopigwa ugani Kasarani Indoor Arena wikendi hii. Hii ni baada...
Kiungo wa Harambee Stars chipukizi marufu kama Junior Stars Aldrine Kibet sasa ni rasmi anajiunga na kilabu ya Celta Vigo inayoshiriki ligi ya Laliga msimu ujao...
Mchezaji wa Tenisi anayeorodheshwa wa kwanza Ulimwenguni Jennik Sinner raia wa Italia amesema kwamba lengo lake ni kutawala dunia sasa baada ya kumpiku mwenzake Carlos Alcaraz...
Miamba wa Uingereza kilabu ya Chelsea ndiyo mabingwa wa Fainali ya Kombe la Dunia baina ya vilabu baada ya kutia darasi kabila ya kukalifisha PSG kibano...
Baraza la Makanisa Nchini IRCK kwa ushirkiano na Kilifi Inter Faith Network pamoja na Wizara ya Usalama wa Ndaani imeenda mechi ya soka ya Amani kati...
Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limetupa idhini kuandaa chan haya si maneno yangu bali ya mwenyekiti wa kamati andalizi ya CHAN Nicholas Musonye. Akizungumza na...
Sasa ni Rasmi Noni Madueke ni mali ya Arsenal vilabu vyote viwili vimekubaliana kwa ajili ya uhamisho huo wa pauni milioni 52 dhidi ya Muingereza huyo....
Matumani ya bingwa wa mpira wa Tennis Novak Djokovic kupata taji la 25 la Grand slam katika historia ya mchezo huo yangali hai anaposhuka dimbani kwa...
Bingwa wa Olimpiki mbio za mitaa 100 Noah Lyles wa Marekani kuanza rasmi msimu wake mjini Monaco Ufaransa katika msururu wa Diamond Ligi hii leo. Mtimkaji...