Matumaini ya kilabu ya manchester united kupata huduma za kiungo mshambulizi wa kilabu ya Brenford Bryan Mbeumo yanaonekana kufifia kila kuchao. Haya yanajiri baada ya mazungumzo...
Kilabu ya FC Barcelona imemkabidhi winga matata Lamine Yamal jezi namba 10 kilabuni humo. Jezi hilo ambalo limevaliwa na baadhi ya wakongwe kilabuni humo ikiwemo Lionel...
Zaidi ya mabondia 180 wa kiwango cha juu kutoka vilabu 26 kote nchini wanatarajiwa kushiriki mashindano ya ndondi ya mzunguko wa pili Kenya yanayotarajiwa kuanza hii...
Nyota wa timu ya Taifa ya soka Harambee Stars vijana Chipukizi ‘Junior Stars’ Aldrine Kibet sasa amejiunga rasmi na kilabu ya Celta Vigo nchini Uhispania. Hii...
Rais William Samoei Ruto mapema Leo ametembelea kikosi Cha timu ya Taifa Mpira wa Soka Harambee Stars Ugani Kasarani wanapofanyia mazoezi kwa Kombe la Chan 2025...
CHAN Siku 17 zimesalia kipute hicho kungoa nanga nchi za Kenya,Uganda na Tanzania. Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Michezo imetumia Kima Cha zaidi ya Shilingi...
TIKETI Huku ikiwa zimesalia siku 17 kung’oa nanga kwa kombe la CHAN katika mataifa ya Kenya,Uganda na Tanzania , tayari utaratibu wa viwango vya tikiti za...
Kilabu ya AC Milan imethibitisha kunasa huduma za kiungo mbunifu na mzee wa kazi Luka Modric kutoka Real Madrid kwa mkataba wa mwaka mmoja. Raia huyo...
Mawaziri wawili waziri wa Michezo Salim Mvurya na waziri wa Usalama wa ndaani Kipchumba Murkomen wamethibitisha kwa pamoja viwanja vitakavyotumika kwa mtanange wa CHAN viko tayari....
Waziri wa Michezo Salim Mvurya amesema kwamba lengo lake ni kuona timu ya Soka Harambee Stars katika fainali ya kombe la CHAN linalongoa nanga mwezi ujao...