SIKU 11 ZIMESALIA KWA KOMBE LA CHAN KUNGOA NANGA ZAMBIA- Chipolopolo Hii leo tunangazia Taifa la Zambia,wanajiita Chipolopolo kwa jina la Utani,ikiwa inaorodheshwa nafasi ya 87...
Manchester United imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji, Bryan Mbeumo kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 71 pamoja na nyongeza akitokea Brentford na atavaa jezi namba...
Mshambulizi wa Manchester United Marcus Rashford akamilisha vipimo nchini Uhispania hapo jana. Hata hivyo Baada ya Marcus Rashford kukamilisha vipimo hivyo vya afya kwa mafanikio huko...
12 DAYS TO GO CHAN-Siku 12 zikiwa zimesalia kungoa nanga taji la CHAN Tumulike Mabingwa mara 2 wa kombe hilo Morocco. Morocco-Wanajiita The Atlas Lions kwa...
Mabingwa wa Ligi Kuu Uturuki, Galatasaray wamekamilisha usajili wa mshambuliaji, Victor Osimhen, 26, raia wa Nigeria kwa ada ya uhamisho ya jumla ya Euro milioni 75...
Timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, imejiondoa rasmi katika michuano ya CECAFA inayojumuisha mataifa manne: Tanzania, Kenya, Uganda na Senegal, ambayo yalipangwa kufanyika...
Huku zikiwa zimesalia siku 15 pekee kung’oa nanga kwa kipute cha CHAN mwezi ujao, Kenya imeratibiwa kupambana na DRC, Morocco, na Angola katika Kundi A linalotajwa...
Baada ya vute ni kuvute ambayo imedumu kwa kipindi cha mwezi mmoja ni rasmi kwamba kilabu ya manchester United na Brenford wameafikia makubaliano ya pauni milioni...
Waziri wa michezo Salim Mvurya ametangaza kwamba matayarisho ya michuano ya CHAN yamekamilika na vijana wa nyumbani wako tayari kuakilisha Taifa. Kenya itatumia viwanja vya Kasarani,...
CHAN COUNT DOWN 16 Days to Go Huku muda ukizidi kuyoyoma kwa kipute Cha CHAN nchini ebu tumulike wakufunzi na Mataifa ambayo yameshinda Kombe hili Tangu...