Mwenyekiti wa muungano wa wahudumu wa maboti kaunti ya Kilifi Shallo Issa maarufu captain Shallo amesema kuwa mapato ya wavuvi msimu huu yameongezeka ikilinganishwa na hapo...
Mzee wa Kaya na pia mchungaji wa dini ya jadi maarufu Gohu, kwenye muungano wa kitamaduni wa MADCA kaunti ya Kilifi Edward Kazungu maarufu kama Kazungu...
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amefungua rasmi upanuzi wa bomba la Moyeni-Kwa Lukongo eneo bunge la Kinango lenye urefu wa kilomita 2 ambalo litasaidia...
Waziri wa Usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, anazuru kaunti za Meru, Tharaka Nithi, na Embu, kutathmini hali ya usalama. Murkomen ambaye kwa sasa y uko kwenye...
Jopo la ushauri la viongozi na maimamu wa Takaungu wadi ya Mnarani kaunti ya Kilifi limeeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Aisha Jumwa kuhusiana na tukio...
Jopo la ushauri na maimamu katika eneo la Takaungu wadi ya mnarani kaunti ya Kilifi limepinga madai yalioibuliwa na wanafamilia wa kijana aliyeuawa baada ya kumuua na...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu na vijana wa Gen – Z katika kaunti ya Mombasa wemezuiwa kuingia katika bunge la kaunti ya Mombasa kuwasilisha malalamishi...
Mahakama ya Malindi kaunti ya Kilifi imetoa amri ya kusitishwa kwa utekelezwaji wa bima ya matibabu ambayo inapeanwa na serikali ya kaunti ya Kilifi. Hii ni...
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa vijana katika bara hili la afrika kuwa katika mstari wa mbele katika kuhakikisha kwamba kuna umoja kwenye bara hili....