Idara ya afya eneo bunge la Malindi kaunti ya kilifi imeripoti ongezeka la visa vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume miongoni mwa wanaume katika...
Mbunge wa Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Owen Baya ametoa wito kwa wenyeji wa kaunti ya Kilifi ambao wana watoto walio na uatilifu kujitokeza kuchukua basari...
Bunge la kitaifa, Jumamosi, Mei 31 linatarajiwa kuanza kuwapiga msasa mwenyekiti na makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC. Ni shughuli iliyoratibiwa kufanyika...
Kesi dhidi ya mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake 38 kuhusu ukatili na ukiukaji wa haki za watoto inaendelea kusikizwa katika mahakama ya watoto ya...
Mafisa kutoka kituo cha polisi cha Vijiweni eneo la Likoni kaunti ya Mombasa, usiku wa kuamkia leo wamewakamata wanaume watatu wanaoshukiwa kuwa wahalifu katika maeneo ya...
Serikali ya kitaifa kupitia wizara ya uchumi na raslimali za baharini na maziwa imetenga kima cha shilingi milioni 600 ili kuanzisha mradi wa bandari ndogo katika...
Mwenyekiti wa wa wahudumu wa maboti Kilifi mjini kaunti ya Kilifi, Shallo Issa maarufu captain Shallo amesisitiza haja ya wavuvi wa eneo hili kuimarishwa kupitia vifaa vya kisasa vya uvuvi....
Uhaba wa wauguzi ni miongoni mwa changamoto ambazo zinatatiza shughuli za utoaji wa huduma za matibabu katika hospitali ya rufaa mjini Kilifi kaunti ya Kilifi. Wakizungumza...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imewaonya watu wanaoishi karibu na Timbo iliyoporomoka jana na kusababisha maafa kutoingia katika timbo hilo ili kudhibiti visa vya watu kufariki....
Mwenyekiti wa mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani nchini, NTSA Khateeb Mwashetani amesema wamerudisha huduma za utoaji wa nambari za usajili wa magari baada ya...