Licha ya hali ngumu za kiuchumi zinazoendelea kushuhudiwa nchini, Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA imetangaza kuongezeka kwa mapato yaliokusanywa mwaka wa kifedha 2024/2025 ikilinganishwa na...
Kesi dhidi ya mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake 38 kuhusu ukatili na ukiukaji wa haki za watoto inaendelea kusikizwa katika mahakama ya watoto ya...
Mwakilishi wadi wa Ganda, kaunti ndogo ya Malindi, kaunti ya Kilifi, Oscar Wanje amekemea vikali tukio ambapo wawakilishi wadi wawili walihusika katika mshikemshike wa kumpiga mwakilishi...