Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, amefariki katika Hospitali Moja Mjini London leo Jumapili Julai 13, akiwa na umri 82. Kiongozi huyo ambaye aliitawala Nigeria kwa...
Wenyekiti mpya wa Tume ya uchaguzi na mipaka Erastus Ethekon pamoja na makamishena wengine sita wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wameapishwa leo Ijumaa...
Miaka michache iliyopita serikali kuu ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki katika juhudi za kuthibiti uchafuzi wa Mazingira. Sheria hiyo iliyoanza kutumika mwezi Agosti 28...
Idara ya Usalama mjini Mombasa imetoa taarifa kujibu ombi la wanaharakati wanaotaka kuandaa maandamano ya kuadhimisha siku ya SABA SABA mjini Mombasa. Katika barua iliyotiwa Saini...
Katika juhudi za kulipiza Mashambulio ya jeshi la Marekani dhidi ya vituo vya Nyuklia, Iran siku ya Jumatatu Juni 23, imevurumisha makombora na kushambulia kambi ya...
Viongozi wa Upinzani wakiongozwa na kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, wamepaza sauti kupinga ujenzi wa kinu cha Nuklia katika eneo la Uyombo wadi ya...
Rais William Ruto alikutana na kushauriana na viongozi kutoka eneo la Nyanza katika Ikulu ya Nairobi siku ya Alhamis. Kulingana na taarifa kutoka Ikulu ya Nairobi,...
Daraja la Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi limo hatarini ya kuporomoka kufuatia mvua kubwa inayoendelea kuonyesha katika kanda ya Pwani na kusababisha mmomonyoko...
Mikutano miwili muhimu ya faragha imefanyika Jumatatu Juni 2 2025, kujadilia usimamizi wa vyama vya ODM na PAA ndani na nje ya Bunge la Kaunti ya...
Bunge la kitaifa limeanza kuwapiga msasa makamishena wateule 7 wa tume ya Uchaguzi na mipaka, IEBC katika majengo ya Bunge. Shughuli hiyo imeanza leo Jumamosi Mei...