Viongozi wa Chama cha ODM wamewakashfu baadhi ya wakenya wanaosherehekea kushindwa kwa aliyekuwa mgombea wa Kenya katika wadhfa wa uwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika...
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika, AUC, kutoka Kenya, Raila Odinga, amevunja kimya chake na kuzungumzia uchanguzi wa nafasi hiyo...
Viongozi mbalimbali nchini watuma rasila zao za rambirambi kwa familia ya mwendazake Seneta wa Baringo William Cheptumo, aliyeaga dunia baada ya kuugua kwa mda mfupi katika...
Mgombea wa wadhifa ya uwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika AUC, Mahmoud Ali Youssouf kutoka Djibouti, sasa ndiye Mwenyekiti mpya wa Tume hiyo baada ya...