Leo ni siku ya Malaria Duniani. Katika siku hii wizara ya Afya imeandaa hafla ya hamasisho linatolewa kuhusiana na juhudi za kuudhibiti kabisa ugonjwa huu hatari...
Wafanyikazi wa vibarua katika Hospitali ya Mariakani kaunti ya Kilifi wameanza mgomo baridi wakilalamikia usimamizi duni wa hospitali hiyo sawa na kukosa kulipwa mishahara yao kwa...
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amekashifu vikali ongezeko la vijana wadogo wanaoendeleza uhalifu katika kaunti hiyo. Abdulswamad amewakosoa wale wanaosema kuwa vijana hao...
Mwenyekiti wa kamati ya Leba katika bunge la kitaifa Ken Chonga amesema baadhi ya wakenya ambao wanasafiri katika mataifa ya miliki za kiarabu kusaka ajira wamekosa...
Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire amelalamikia hatua ya serikali kuu kuchelewesha usambazaji wa fedha za serikali za kaunti, akidai kwamba hatua...
Mwenyekiti wa maandalizi ya CHAN mwezi Agosti nchini Nicholas Musonye amezionya vikali mashabiki wa Afc Leopards na Gor Mahia dhidi ya vurugu ya aina yoyote siku...
Wakaazi wa Diani eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale wanaitaka idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI kufanya upekuzi wa maduka ya kuuza dawa. Wakaazi...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko kadhaa katika baraza lake la mawaziri na kuwateua watu wengine kushikilia nyadhfa hizo huku aliyekuwa Waziri wa utumishi wa umma nchini...
Mkufunzi wa Timu ya taifa Harambee stars Benni McCarthy amesema kwamba walikutana na mpinzani Bora Gabon katika mechi ya kufuzu kombe la Dunia ugani Nyayo siku...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imehimizwa kuboresha vyuo vya kiufundi vya TVET ili kuviwezesha kutoa mafunzo ya hadhi ya juu kwa wanafunzi. Kulingana na Kiongozi wa...